VIPENGELE VITAKAVYOSHINDANIWA KWENYE TUZO ZA FILAMU ZA NYUKA 2024
- Muigizaji Bora wa Kiume Filamu
- Muigizaji Bora wa Kike Filamu
- Muigizaji Bora wa Kiume Tamthilia
- Muigizaji Bora wa Kike Tamthilia
- Muigizaji Bora Msaidizi wa Kiume - Filamu
- Muigizaji Bora msaidizi wa kike Filamu
- Muigizaji bora msaidizi wa kiume Tamthilia
- Muigizaji Bora msaidizi wa Kike Tamthilia
- Muigizaji bora chipukizi Filamu
- Muigizaji bora chipukizi – Tamthilia
- Muigizaji bora Ucheshi – Filamu
- Muigizaji bora Ucheshi - Tamthilia
- Muongozaji Bora Filamu
- Muongozaji bora Tamthilia
- Mhariri bora Filamu
- Mhariri bora Tamthilia
- Mpiga picha bora Filamu
- Mpiga picha bora Tamthilia
- Muandishi Bora wa Muswada halisi Filamu
- Muandishi bora wa muswada wa kunakiliwa Filamu
- Muandishi Bora wa Muswada Tamthilia
- Msanii bora Mapambo Filamu
- Msanii bora Mapambo Tamthilia
- Mbunifu wa mavazi Filamu
- Mbunifu wa mavazi Tamthilia
- Filamu bora ya ucheshi
- Tamthilia bora Ucheshi
- Filamu bora ya Mwaka
- Filamu bora ya mwaka ( Filamu fupi)
- Tamthilia bora ya mwaka
- Maisha ya Mafanikio katika Filamu au Lugha ya Kiswahili (Life time achievement
Awards)
- Chairman Awards
- Mtu binafsi
- Taasisi
- Kiongozi wa kiserikali